September 17, 2017

Kikosi cha Njombe mji Fc kinatarajia kucheza na Mbeya city leo saa kumi kamili jioni katika uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.


Kikosi cha Njombe Mji FC kikiwa mzaoezini



        MAJINA YA WACHEZAJI WA NJOMBE MJI FC
1.David Kisu 2.Salehe Libenanga 3.Erick Kaphom 4.Agatho Mapund 5.Laban Kambole 6.Hussein Hussein 7.Mark Mwambungulu 8.Peter Mwangosi 9.Ahmed Tajudin 10.Innocent Lazaro 11.Mustapha Athuman 

NJOMBE MJI FC NEWS